6/09/2022

Rumors za Kuvunjika kwa Kundi la Rap la MIGOS tokea nchini Marekani Zazidi Kushika Kasi Waondolewa Katika Show Hii Kubwa

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


Rumors za kuvunjika kwa kundi la Rap tokea nchini Marekani, Migos linalo undwa na wasanii watatu, OffSet, Quavo na TakeOff, zinazidi kukolea siku baada ya siku na hii ilianza mwishoni mwa mwezi Mei, baada ya Rapa Offset kuwaunfollow Quavo na TakeOff kwenye mitandao yake ya kijamii.


June 10, mwaka huu wasanii hao walikuwa kwenye list ya wataokao fanya performance kwenye tamasha la Governors Ball jijini New York, lakini hadi inafika tarehe 08 mwezi huu, taarifa zilizotoka ni kuwa wasanii hao wamefuta uwepo wao kwenye tamasha hilo na hivyo nafasi yao itachukuliwa na Rapa, Lil Wayne

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger