JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Dodoma. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson leo Alhamisi Juni 9, 2022 ameiagiza Serikali miezi mitatu ya kufanya uchunguzi wa tuhuma za mauaji ya wananchi zilizotolewa na Mbunge wa Tarime Vijiji, Mwita Waitara na Mbunge wa Songwe, Phillipo Mulugo.
Wabunge hao walitoa orodha ya majina ya wananchi wa majimboni kwao wanaodaiwa kuuawa na kujeruhiwa na Tembo.
0 Blogger:
Post a Comment