Sio Kwa Mabusu Yale...Juma Jux Amkana Mrembo Huddah Mchana Kweupe "Hakuna Mapenzi ni Biashara tu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 The African Boy, @juma_jux akiwa kwenye XXL ya Clouds FM, amekanusha kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mrembo tokea +254 (Kenya), Hudda.

Hivi karibuni Jux na Hudda wamekuwa midomoni mwa watu wengi, baada ya kuachia kichupa chao cha Simwachi ambacho Hudda ni Video Vixen, Zile kisses na mibambiano ikaleta noma, lakini kama haitoshi hivi karibuni Hudda alitua Bongo kwaajili ya show ya pamoja na Jux pale Element, lakini mapokezi ya Hudda ndio kitu kilichoenda zaidi mitandaoni, baada ya wawili hao kujiachia kwa makiss mengi mbele ya Camera za waandishi wa Habari.

Hasa Jux amedai urafiki wake na Hudda hauna mipaka, wamekuwa marafiki kwa takribani miaka 7, Hudda alikuja Bongo kwasababu za kibiashara na hakuna kingine zaidi ya hicho.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad