6/20/2022

Stan Bakora Ahuhakikishia Ulimwengu Kuwa Kajala na Harmonize Wanafunga Ndoa Hivi Karibuni

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya kuisikia kauli kutoka kwa mtu wa karibu na couple ya Harmonize na Kajala, mchekeshaji @stanbakora_ ambapo amesema, ndoa ya wawili hao inakuja.


Akizungumza kwenye Chill na Sky hapa SnS, @stanbakora_ ametuthibitishia kuwa Harmonize amepanga mahusiano yake hayo yafikie kwenye hatua hiyo muhimu katika maisha na mwezi wa saba haupiti kila kitu kitakuwa tayari.


Pia Stanbakora amefunguka sababu hasa za kuipenda couple hiyo kiasi cha kutoa wimbo uitwao "Konde Love". Link kwenye bio yake @stanbakora_


 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger