6/04/2022

Tume ya Uchaguzi nchini Kenya Yampitisha Kugombea Urais Mgombea Mwenye Sera za Kuruhusu Matumizi ya Bangi

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC imemuidhinisha Profesa George Wajackoyah kuwania kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwezi wa nane mwaka huu nchini humo ambapo ameidhinishwa baada ya kutimiza matakwa na vigezo vyote alivyotakiwa kuwa navyo tofauti na mwanzoni kutokuwa na orodha ya kutosha ya wanaomuunga mkono kuwania nafasi hiyo ya Urais.


Profesa Wajackoyah ambaye atawania ngazi hiyo ya Urais kupitia tiketi ya Chama chake cha ROOTS amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na upekee wa sera zake husasani ile ya kuruhusu kila Mkenya kuotesha na kuuza bangi kama zao la biashara iwapo watamchagua kuwa Rais

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger