Ticker

6/recent/ticker-posts

Unaweza Ukashangaa na Kujiuliza Maswali Mengi, Lakini ndio Ukweli. Bernard Morrison ‘BM3’ Amerejea Jangwani

Unaweza ukashangaa na kujiuliza maswali mengi, lakini ndio ukweli. Bernard Morrison ‘BM3’ amerejea Jangwani, klabu aliyokuwa akiichezea misimu miwili iliyopita kabla ya kutua Msimbazi.


Winga huyo Mghana asiyeishiwa vituko ndani na nje ya uwanja, kwa mujibu wa @shaffihdauda_ amesaini Yanga leo Juni 29, 2022, huku taarifa hiyo ikithibitishwa kutoka kwa watu wa karibu ndani ya Yanga.


Ikumbukwe, Yanga ndio klabu iliyomleta Morrison nchini.Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments