6/09/2022

Urine Uwoya Atega Watu Kwa Kusema Haya "Unaweza Kuchoma Moto Cheti cha Form Four Kwa Milioni 20? "

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


 Irene Uwoya @ireneuwoya8 ; ni mwanamama wa Bongo Movies na mjasiriamali ambaye amekuwa akiwapa chalenji mashabiki wake ikiwemo ile ya kutotumia siku za wikiendi kufua nguo na badala yake watafute pesa kisha kutokwenda kazini Jumatatu kwa kuwa ni siku ya mapumziko.

Safari hii amekuwa na nyingine kali ambayo kila mtu anasema lake. Uwoya amewauliza mashabiki wake; “Unaweza kuchoma moto cheti cha form four kwa milioni 20???”

Hata hivyo mmoja wa mashabiki hao ametoa kali kwa kumuambia; “Mna mitego nyie…haya mpo Dar sehemu gani?”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger