6/15/2022

Watatu wafariki, saba wajeruhiwa ajali Shinyanga

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Watu watatu wamefariki na wengine saba wamejeruhiwa katika ajali ya basi la Zubery iliyotokea katika barabara ya ya Mwanza  - Shinyanga katika eneo la Mwigumbi.
Taarifa zinaeleza kuwa Basi hilo liligonga Ukingo wa Daraja na kutumbukia bondeni na kusababisha vifi hivyo ambapo mmoja kati ya waliofariki ni dereva wa basi hilo aliyefahamika kwa jina la Hamza Katima.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, George Kyando amesema taarifa za awali zinaonesha kuwa chanzo cha ajali hiyo ni Dereva wa     Basi hilo kupata tatizo la kiafya akiwa safarini.

Polisi wametioa wito kwa madereva kuangalia afya zao mara kwa mara kabla ya kuanza safari ili kuepusha matukio kama hayo kutokea 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger