6/01/2022

Wema Sepetu Atamani Kuihama Tanzania "Tanzania Mna Mambo za Kifooo Sana"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Licha ya klabu yake ya Yanga kushinda kwenye game ya nusu fainali ya FA dhidi ya Simba May 28, bado Madame @wemasepetu anaonekana kutokuwa na furaha 100% ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika,

“Hivi kwanini watu hupenda kupangia maisha watu wengine sana.... Ukiangalia, hunisaidii chochote kwenye maisha yangu, hali kadhalika kwangu mimi pia sikusaidii chochote... So why maisha yangu yakuume au uone kama yanakuhusu sana.... Kila mtu aishi maisha yake... 🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️

Kufuatiliana maisha sio K wala nn...!!! Ukikaa na marafiki kuna nini... Ukifurahi na marafiki Shida....
ukisema basi uenjoy na rafiki zako unakuwa discussed.... Oyaaaaaa.... Sipendi.... Mxxxxxiuuee....

Mnaboa bwana... Afu sijui nisepe zangu tu niende mbali.... Tanzania mna mambo za kifooo sana ... Sema sasa tatizo na mi nae napapenda sana Bongo... Tutapambana tu hivyo hivyo.... Ila mnakera for real...

Temporary Post”


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger