Wimbo wa Msanii nyota wa muziki wa Bongofleva, Rayvanny Waweka Rekodi Hii Spotify

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wimbo wa msanii nyota wa muziki wa Bongofleva, @rayvanny "Tetema" umefikisha jumla ya streams milioni 30 katika mtandao wa Spotify na kuwa wimbo pekee Afrika Mashariki kufanya hivyo.


Wimbo huo ambao Rayvanny amemshirikisha Diamond Platnumz, una miaka mitatu sasa tangu utoke rasmi, ulitoka Januari 30, mwaka 2019.


Aidha, video yake youtube ina VIEWS Milioni 66, ambapo ilipandishwa katika mtandao huo Februari 6, mwaka 2019 na ndio video pekee ya msanii @rayvanny iliyotazamwa zaidi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad