Yaelekea Kimenuka WCB, Zuchu Afuta Picha Zote za Diamond Platnumz Kwenye Page yake Instagram

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


ZUCHU na DIAMOND kunani! Ukipitia ukurasa wa Instagram wa Zuchu utagundua kuna utofauti kidogo kwani ameondoa sehemu kubwa ya picha zenye matukio yote aliyokua na boss wake Diamond Platnumz.


Sababu yakufanya hivyo bado haijajulikana ila huenda ikawa ni sehemu ya promotion ya Zuchu katika ukurasa wake huo wenye followers zaidi ya Milioni 4.6 kufuatia ujio wa kazi zake mbili mpya anazotarajia kuachia kesho Ijumaa.


Una mtazamo gani?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad