6/15/2022

Zari Kuolewa na Kijana Mdogo Mwenye Umri Sawa na Mtoto Wake wa Kwanza

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Zari amesema yupo tayari kuingia katika ndoa na bwana'ke huyo mpya wanayependana kwa dhati japokuwa wengine wanaona kama ana umri sawa na mwanae wa kwanza mwenye miaka 18


Tangu alipomwagana na Diamond Platnumz takribani miaka minne iliyopita, Zari amekuwa katika mahusiano na wanaume si chini ya 4 ambapo mahusiano yote yaliishia kupasukiana bila Zari kuweka wazi sababu


Ila safari hii anaonekana kumpata mume sahihi mtarajiwa ikiwa ni mwezi mmoja tangu wawe wapenzi na kumuweka wazi jamaa huyo anayedaiwa bado hajazoea hekaheka za mitandaoni kutoka kwa mashabiki

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

  1. Hivi huyu kijana si atakua anaogelea tu hapo. Maana umepita mguu wa mtoto umo

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger