Ticker

6/recent/ticker-posts

Aggy Baby "Kila Siku Natumia Shilingi Milioni Tatu Kwa Ajili ya Kujiunga Bando"

A


ggness Suleiman almaarufu Aggy Baby; ni muigizaji wa tamthilia na msanii wa Bongo Fleva ambaye anasema kuwa, kati ya vitu vinavyommalizia pesa ni bando kwa sababu anatumia shilingi milioni tatu kwa ajili ya kujiunga na kifurushi cha siku.


Aggy Baby ambaye hivi karibuni alitangaza kuwa tayari kumzalia mchezaji wa Yanga, Fei Toto anasema “Kiukweli kinachonimalizia pesa ni simu, natumia karibia shilingi milioni tatu kwa siku, hata kula siyo hivyo kwa sababu naweza kula shilingi milioni mbili au milioni moja na nusu, lakini bando linalimalizia sana pesa.”


Cc; @sifaelpaul

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments