Ticker

6/recent/ticker-posts

Amber Rutty Akana Sio Yeye Kwenye Video ya Utupu Aliyopost Mange Kimambi Mtandaoni


Jana mida ya saa mbili usiku Mange Kimambi alipost picha ya Amberrutty kisha akaweka caption nzito.


"Legend wa maconnection Tanzania, AMBERRUTTY, kaachia connection yake mpya, yani alipakwa na makeup kabisa ndo akarekodi… Huyu kiumbe huyu ….Haya njoo kwenye App fastaaaa"-Mange Kimambi


Baada ya Video kuzagaa, amberrutty mwenyewe aliiona hiyo video kisha mida ya saa tano usiku na yeye akapost picha kadhaa zinazoonesha tatoo mbalimbali zilizopo mwilini mwake kisha akaandika caption nzito.


" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kitu pekee ninacho mshukuru MUNGU Ni always uwa Hana Kabisa Ushirikiano Na Uwongo,,Mwili wangu Umejaa Tattoo’s Zaidi Ya 10+ ambazo zipo Kwenye kila kiungo cha mwili wangu Tuushie Apo…

AhsanteMUNGUπŸ™πŸ™"-Amberrutty


Hivyo basi kutokana na hii caption ya Amberrutty , anamaanisha kwamba kwenye hiyo video iliyosambazwa na mange kimambi sio yeye yule, mdada wa kwenye hiyo video hana tatoo kabisa ila Yeye anatatoo kibao mwilini mwake.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments