Ticker

6/recent/ticker-posts

Baada ya Kupigwa Mandonga Afunguka "Ni Mpango wa Mungu"


Siku zote kuna ajali kazini, kwa mtu anayependa kazi na asiyependa kazi ajali huwa inamkuta.

Pambano hili la leo inawezekana Mungu amenipangia kunipa matokeo haya kwahiyo sina uwezo wa kumpinga Mwenyezi Mungu katika matokeo ya leo.

- Karim Mandonga Afunguka

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments