Ticker

6/recent/ticker-posts

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Limetaja Sikukuu ya Eid El-Adh’haa


Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limetaja Sikukuu ya Eid El-Adh’haa kuwa Jumapili ijayo Julai 10, 2022 hivyo waumini wa dini na wananchi wote kwa ujumla watasherehekea sikukuu siku hiyo.


Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Katibu Mkuu wa Bakwata, Nuhu Mruma amesema sherehe za kitaifa zitafanyika jijini Dar es Salaam.


Pia Mruma amesema na Swala ya Eid El-Adh’haa itaswaliwa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni saa 1:30 asubuhi ikifuatiwa na Baraza la Eid baada ya Swala.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments