Ticker

6/recent/ticker-posts

Bernad Morrison Atoa Mpya "Namuomba Mama Samia Nipate Uraia wa Tanzania"


Nyota wa Klabu ya Simba Bernad Morrison Katika Moja ya Interviwe hivi karibuni alipiga magoti na kumuomba rais wa Tanzania Mama Samia Uraia wa Tanzania,  Amesema Anatamani apate Uraia wa Tanzania, Na moja ya Sababu ni Uzuri wa Nchi ya Tanzania Pia Amesema kuwa anatamani sana kuitumikia Timu ya Taifa ya Tanzania TAIFA STARS.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments