Ticker

6/recent/ticker-posts

Bilnass Afunguka "Asante Kwa Zawadi Hii Mke Wangu"

 


"Asante kwa zawadi hii mke" - Nenga, rappa Billnass alikuwa na haya machache kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa mkewe mtarajiwa, mwimbaji nyota wa muziki nchini The African Princess Nandy


Wawili hao ambao ni wachumba wa muda mrefu wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza pamoja. Pia wapo mbioni kufunga ndoa ambayo inatajwa kuwa mwezi huu.


Ikumbukwe, Februari mwaka huu Billnass alimvisha Nandy pete ya uchumba.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments