Ticker

6/recent/ticker-posts

Bondia Mtanzania, Seleman Kidunda Aiheshimisha Tanzania, Ampiga Mkongo Katompa


Bondia Mtanzania, Seleman Kidunda ndiye mshindi katika pambano la Raundi kumi 10 lililopigwa usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Maji Maji Songea, dhidi ya Mkongo Tshimanga Eric Katompa na kutawazwa kuwa Bingwa mpya wa mkanda wa WBF Intercontinental.


Seleman kidunda na Eric Katompa walikuwa wakigombea ubingwa wa WBF Intercontinental SuperMiddle Weight.


Fahanu, pambano hilo lilikuwa ni la marudiano baada ya pambano la awali kuamuriwa kwa sare baada ya kushindwa kutokana na kupata jeraha juu ya jicho katika raundi ya tatu.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments