Ticker

6/recent/ticker-posts

Boniface Jacob Afunguka Kuhusu Uhamisho wa RC Anthony Mtaka kutoka Dodoma


Mimi kama Mtaalamu na mzoefu wa Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa

Uhamisho wa RC Anthony Mtaka kutoka Dodoma (Jiji) Kwenda Mkoa wa Njombe unaweza kuwa

1.Kushushwa Cheo (Demotion) Kutoka Jiji Kwenda Halmashauri za miji

2.Kupanda Cheo (Promotion)Kwenda sehemu zilizoshindikana

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments