Ticker

6/recent/ticker-posts

Briana wa Harmonize Ametua Bongo..Itakuwaje Kajala Masanja


Ex wa Harmonize ametua Bongo Juzi, mpaka sasa haijajulikana kwamba amekuja bongo kufanya nini. Kupitia Insta story, Briana alipost picha kabla ya kuja na alipofika Dar es salaam akapost pia akiwa maeneo ya Posta. Huu ni uthibitisho tosha kuwa Briana yupo Tanzania.


Naamini Watu wengi wanajiuliza kwamba Jana Briana amefikia wapi? Maana Kajala ndio mama mwenye nyumba kwasasa.


Umekuwa ni utaratibu wa Briana kusafiri nchi mbalimbali hasa za Afrika maana siku tano zilizopita amepost picha akiwa Nairobi, ukipitia post zake utaona namna anavyosafiri kila siku kama Vasco Da Gama.Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments