Ticker

6/recent/ticker-posts

CEO wa Simba, Barbara Gonzalez Ato Mkwala "Simba Tushikiki Wala Kuzuilika"


CEO wa Simba, Barbara Gonzalez @bvrbvra akizungumza leo Dar es salaam kwenye sherehe za uzinduzi wa Wiki ya Simba amesema “Zoezi la usajili bado linaendelea, Wiki ijayo Timu yetu ya digital itaanza kutangaza Wachezaji wengine”

“Leo ni uzinduzi rasmi wa Simba Week, tuna mambo mengi kwenye Wiki hii, Msimu huu tunarudi kwa nguvu, tunarudi kutetea ubingwa wetu na slogan yetu ni WE ARE UNSTOPPABLE - HATUSHIKIKI – HATUZUILIKI”

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments