Ticker

6/recent/ticker-posts

Dkt. Raphael Chegeni Ameteuliwa Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Akichukua Nafasi ya Ally Hapi.


Rais Samia amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa Wapya 9 na kuwahamisha vituo vya kazi Wakuu wa Mikoa 7 na wengine 10 kubakia kwenye nafasi zao ambapo amemteua Dkt. Raphael Chegeni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara akichukua nafasi ya Ally Hapi.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments