AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Pazia la michuano ya kombe la shirikisho Azam #ASFC linaenda kutamatika hii leo Julai 2, 2022 kwa mchezo mmoja wa fainali unaowakutanisha Mabingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara, Young Africans dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union.
Mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa wa aina yake, unapigwa katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha, kuanzia saa 9:00 Alasiri.
Kuelekea mchezo huo, Yanga wanatazamia kuongeza kikombe kingine kwenye kabati lao ambalo tayari limesheheni Mataji huku Coastal Union licha ya kulitaka kombe hilo pia itahitaji ushindi wa hali na mali ili kukata tiketi ya kushiriki michuano ya kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK