Ticker

6/recent/ticker-posts

Hatimaye Nandy Atuonesha Ujauzito Wake Alioficha Kwa Miezi Kadhaa


Mwanamuziki Nandy kwa muda mrefu amekuwa akihisiwa kuwa ni mjamzito lakini amekuwa akikataa kuhusu hilo, sasa leo muda si mrefu amepiga picha akiwa na Mume wake mtarajiwa Billnass Akionesha tumbo lake likiwa wazi


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments