Hatimaye...Mtuhumiwa Mauaji ya Watu Saba Kigoma AdakwaKamishna Liberatus Sabas, mkuu wa oparesheni na mafunzo wa jeshi la polisi Tanzania, ametoa taarifa kwa wanahabari na ameeleza kukamatwa kwa mtuhumiwa anayedaiwa kuua watu saba wa familia moja Kigoma.


Sabas amesema kuwa watu wanaangalia wingi wa watu waliokufa lakini, kupitia ushahidi jeshi la polisi wanauhakika mtuhumiwa huyo ndiye aliyehusika katika vifo vya watu wote hao.

______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad