Ticker

6/recent/ticker-posts

Hayawi Hayawi Hatimaye Yamekuwa! Nandy Sasa ni Mke Halali wa Ndoa wa Rappa Bilnass
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa! The African Princess @officialnandy sasa ni mke halali wa ndoa wa rappa @billnass hii ni baada ya kula kiapo cha ndoa na kuvishana pete za ndoa saa chache iliyopita katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani Usharika wa Mbezi Beach.

Baada ya kufunga ndoa sasa kinachofuata ni sherehe, ambapo sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City kuanzia jioni na sherehe hiyo litarushwa mubashara na vituo kadhaa vya runinga nchini.


Unalipi la kuwaambia Billnass na Nandy katika maisha yao mapya ya ndoa?

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments