Ticker

6/recent/ticker-posts

Hii Ndiyo App BORA ya Kubetia Soka Tanzania


Wakati tunajiandaa na ligi kuanza unaweza ukawa unajiulia app gani bora kwa mwaka huu ya kubetia soka yaani Sports betting  Kulingana na uzoefu wangu jibu ni Sokabet pekee. 

Najiamini kusema Sokabet ndiyo kampuni bora namba moja ya michezo ya kubashiri mtandaoni hapa

Tanzania kutokana na namna inavyojiendesha kitaalamu na weledi. Unapotafuta sehemu ya kuaminika inayoaminika kwa ajili ya kubeti soka mtandoni unapaswa kuwa makini ili usije ukakosea na mwisho wa siku unaishia kujilaumu. Hizi ni sababu chache zinazonifanya nijiamini hivi.

Kwanza kabisa App yake inapatikana kwa urahisi sana. Ukizama kwenye tovuti ya SOKABET Juu kabisa kushoto utakutana na kitufe kimeandikwa “App” ukikibonyeza basi utafuata maelekezo na moja kwa moja utaipakua app na kujivinjari.

Pia Sokabet ni kampuni pekee Tanzania inayokupa nafasi ya kuchagua muonekano wa tovuti yake. Unaweza ukachagua kati ya BetSolutions (mwonekano wa siku zote), Altenar (mwonekano mpya) au Altenar Lite (kwa watumiaji wa simu za Android tu na kama mtandao wa internet uko chini sana).

 Ukichagua Altenar unaweza kubeti kuanzia dau dogo kabisa la Sh.1/= pamoja na ku-book beti yako na kuihifadhi Booking Code na baadae kuitumia kukamilisha beti yako au ukamtumia rafiki yako Booking Code yako au Bet ID yako nayeye akaitumia kuweka beti yake. 

Ukichagua muonekano wa Betsolution basi utaendelea kufurahia michezo mbalimbali, slots, live casino, casino mubashara, bila kusahau ligi zote za soka uzipendazo.

Hiyo ndio Sokabet bwana, hakuna ubabaishaji na kwa buku tu unaweza kuondoka na milioni 200 za jackpoti kila wiki. 

Kizuri zaidi ni wana kitengo cha huduma kwa wateja kinachofanya kazi masaa 24 kupitia namba 0746983630. Ingia sasa Sokabet uendelee kupiga mkwanja.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments