Mfungaji bora hayupo kwenye tuzo ya Mchezaji bora wa Ligi, kama Fiston Mayele yupo kwenye tuzo ya Mchezaji bora, George Mpole anakosekana vipi?
Kigezo kipi kimempeleka Mayele kwenye tuzo na kipi kimemtoa Mpole kwenye tuzo ikiwa wote ni Washambuliaji
Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group
0 Comments