Ticker

6/recent/ticker-posts

Injinia Hersi Said ashinda Urais Yanga kwa kishindoMwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi wa Yanga Malangwe Mchungahela amethibitisha kuwa injinia Hersi Ally Said ndio Rais wa club ya Yanga SC hiyo ni baada ya wajumbe kupiga kura za ndio.

Kwa mujibu wa katiba ya TFF mgombe wa nafasi yoyote akiwa mmoja basi wajumbe huulizwa kama wanakubaliana waseme ndio na kama hawakubaliani waseme hapana hapa JNICC ndio zimekuwa nyingi hivyo amepita.

Hersi anaandika rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka mfumo mpya wa mabadiliko uanza na sasa atakuwa madarakani kwa miaka 8 kwa mujibu wa katiba 2030.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments