Ticker

6/recent/ticker-posts

Japan : Waziri Mkuu wa Zamani Shinzo Abe Amefariki Kwa Kupigwa Risasi


Waziri mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe, amefariki baada ya kupigwa risasi mapema leo kwenye mkutano wa kampeini, kutuo cha habari cha serikali nchini Japan, kimeripoti .

Abe aliyekuwa na umri wa 67, alikuwa waziri mkuu wa Japan ambaye alihudumu kwa muda mrefu hadi kujiuzulu kwake mwaka 2020, alipigwa risasi wakati akitoa hutuba kwenye mkutano wa kampeini.


Mshukiwa wa mauwaji hayo tayari amekamatwa na polisi.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments