Ticker

6/recent/ticker-posts

Kenya: Anayedai Kuwa Mtoto wa Hayati Kubaki Ajitokeza na Kufungua Keshi Apate UrithiJacob Ochola, (62) anayedai kuwa Mtoto wa kwanza wa Rais Mwai Kibaki, amefungua shauri la kutaka kutambuliwa na familia ya Hayati huyo kama Mwanafamilia na sehemu ya Warithi

Katika shauri hilo #Ochola anaitaka Mahakama kuwashurutisha Watoto wa Mwai Kibaki kuweka wazi iwapo jina lake lilijumuishwa katika wosia anaodai uliandaliwa na Baba yao

Aidha, ameitaka Mahakama kuamua atakayeteuliwa Msimamizi wa Mali na kutaka mchakato wa ugawaji wa mali hizo uanze haraka iwezekanavyo

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments