Ticker

6/recent/ticker-posts

Kijana Ajiteka Mwenyewe ili Kupata Pesa Kutoka Kwa Wazazi Wake


Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanafunzi wa Udaktari, Edwin Kamau (23), ambaye anadaiwa kuwa ametekwa kwa nia ya kujipatia pesa kutoka kwa wazazi wake.

Mwanafunzi huyo kutoka Chuo cha Mafunzo ya Udaktari cha Makindu, anadaiwa kujificha Jumapili iliyopita kisha kumpigia simu mama yake akidai ametekwa nyara, hivyo watekaji wanahitaji fidia ya Ksh.70,000 (sawa na TZS milioni 1.38) ili wamuachilie huru.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments