Ticker

6/recent/ticker-posts

Kinyozi wa Jux Afunguka Kulipwa Laki Mbili na Jux Kila Akienda Kumnyoa Nywele


Jux hutoa laki 2 kuwekwa sawa nywele kwa kinyozi

"Kunyoa kawaida ni Tsh 10000, ila kwa style kama ya Jux ni 40,000 lakini yeye akiingia mfukoni huwa hahesabu anatoa burungutu unakuta laki na hamsini au laki mbili" kinyozi husika ameiambia EATV


Pia kuna wakati Juxi anafuatwa nyumbani kwake na kinyozi kunyolewa hapo

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments