Kiwanja kinauzwa Vikawe, km 5 kutoka Baobab sec...Eka Moja na Robo

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA
Kiwanja kinauzwa Vikawe, km 5 kutoka Baobab sec

Kiwanja kina sqm 5198 (eka moja na robo) Kama kinavyoonekana kwenye ramani (attached) na kimepimwa.

Tunakiuza bei ndogo sana ya sh 7000 tu kwa kila sqm (Bei elekezi ya serikali) sawa na jumla ya mil 36 ya haraka ili tumalize matatizo yetu.

Karbuni sana. Piga simu
0758603077

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA


 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad