Ticker

6/recent/ticker-posts

Klabu ya Simba imefanikiwa kuifunga timu ya Al-Okhdood Club ya Nchini Misri Mabao 6 BilaKlabu ya Simba imefanikiwa kuifunga timu ya Al-Okhdood Club ya Nchini Misri kwa jumla ya magoli 6-0 mchezo iliyopigwa leo Julai 23.

Simba imeondoka na ushindi huo mnono ukiwa ni mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Hii ni mechi ya pili Simba SC inapata ushindi ikiwa Pre Season nchini Misri huku Mshambuliaji wake mpya Moses Phiri akitupia michezo yote miwili.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments