Lukamba Akana Kufubaa Baada ya Kuachana na WCB, Asingizia Kamera

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya video Clip moja kusambaa mitandaoni ikimuonyesha aliyekuwa videographer wa Diamond Platnumz, @lukambaofficial akifanya interview na online media flani huku akionekana kama mtu aliyepoteza nuru na watu wakimsema kuwa amepauka ikiwa hana hata miezi 6 toka atangaze kujiweka kando na Diamond kikazi, Videographer huyo ameamua kujibu.

Hit maker huyo wa Maboya amekana kuhusu kupauka, na kutupa lawama kwa Camera operators kwa kuset Camera zao vibaya zikimuonyesha kama mtu aliye choka, kwenye moja ya ukurasa wa udaku uliyopost clip hiyo, Lukamba ameachia Comment akidai

“๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yaaani Camera zenu mnaset hovyo alafu mnanisema,binadamu๐Ÿ™Œ”

Lukamba kakana Kupauka bana

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad