Ticker

6/recent/ticker-posts

Majaliwa "Wanaosema Tumeongea 20,000 ni Wenye Mishahara Mikubwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanaosema kuhusu ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa na ambao unatosha

Ameeleza, "Ni kweli 23% iliyotamkwa haijalipa watu wote, na hii ni kwasababu ya Formula inayotumika katika kutamka viwango vya Mshahara. Inapotamkwa wanaonufaika si wote mpaka wa mishahara mikubwa, bali ni wale wa kada ya chini"

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments