Ticker

6/recent/ticker-posts

Mama Diamond Platnumz Awapongeza Bilnass na Nandy, Amfunda Bilnass Kuhusu Ndoa


" HONGERENI SANA MR AND MRS WILLIAM. NIWATAKIE MAISHA MEMA NA YA BARAKA KWENYE NDOA YENU WANANGU..MUNGU AWALINDE NA KUWASIMAMIA


KWAKO BILLNASS :


ILI KUILINDA NA KUITUNZA NDOA YAKO INAKUBIDI WEWE NDIO UWE MTU WA KWANZA KUSEMA SAMAHANI HATA KAMA YEYE NDIO AMEKOSEA


NI RAHISI SANA KWA MWANAUME KUILINDA NDOA YAKE KULIKO MWANAMKE KWANI WANAUME NDIO WENYE MAKOSA ASILIMIA 80


KUA WA KWANZA KUOMBA RADHI,KUA WA KWANZA KUTAKA MAZUNGUMZO KILA MNAPOKOSEANA


LA MWISHO :

USIKUBALI KULALA NA UGOMVI WA MCHANA KWANI KESHO MTAAMKA NAO TENA 💕💕💕💕"

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments