MANGE Kimambi Amlipua Salama SK Kisa P-Funk Majani, "Umefanya Nini Kwenye Muziki wa Bongo zaidi ya Majungu"?

 


Ameandika haya Mange Kimambi:

Wasafi, Majani ana matatizo yake ila amewaambia ukweli. Na badala ya kumjibu kwa facts nyie mnaenda kwenye personal attacks zinazohusu Harmonize kumtomb** familia yake, ila kipindi kile Ommy Dimpoz alipoongelea kumtomb** Dai mamake mlikasirika sana kwasababu kaingiza mambo ya family. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu….

Alichosema Majani ilibidi kijibiwe kwa facts, Dai mwenyewe alisema kwa mdomo wake kuwa alibeba wimbo wa Mbosso kwenye FOA, je alimpa rights zake juu ya ule wimbo?

Naongea sababu kumbukeni Wasafi mliingia mjini kwa kumchafua Ruge Mutahaba kwa kukandamiza wasaniii, haya nyie leo mnafanya nini? Mlivyoingia mjini mlibeba wasaniii woooote wa zamani ambao walikuwa hawaelewani na Clouds,kina Dudubaya sijui nani mkadai hao wasanii walipotea sababu ya Ruge, haya mliishia wapi na wale wasanii? Mbona hamko nao tena? Mlidhani kazi ya kudili na wasanii ni rahisi?

Kila msanii wa wasafi akipata jina tu anasepa zake hiyo yote ni sababu ya mkataba mibovu ya ukandamizaji.Msanii atakaebaki hapo labda ni Zuchu tu na hiyo ni sababu ya dyudyu ya Dai tu, siku akiacha kupewa dyudyu huyo nae hakai Wasafi maana juzi tu airport alishindwa hata kulipia ushuru akaacha mabegi airport hana hela.

Si RayVanny si Harmo miaka yoote waliyokaa WCB hakuna alieweza hata kununua kiwanja akajenga nyumba.

Na wewe Salaam unamuuliza Majani kaifanyia nini music industry ya Tz? C’mon meein, are you serious?Majani ni Godfather wa bongoflava, baada ya Ruge anaweza fata huyu kati ya watu waliokuza mziki wa bongoflava. Unajifanya umesahau miaka ile bongo records ndo ilikuwa everything in town leo unamuiliza swali la kikuma kama hilo. Huyu ndo alifanya mpaka wa watoto wa kishua wa masaki huko,kina Mutie Mengi wakafall in love na bongo flava. Mnasubiri afe ndo muanze kumuita legend, give him his flowers akiwa hai…Huyu jamaa bangi nyingi ila don’t disrespect him kwenye issue ya bongoflava.

Wewe Salaam umeifanyia nini music industry ya Tz? Maana kama ni Dai alikuzwa na Ruge na kumanajiwa na Ruge, wewe umeifanyia nini indrustry zaidi ya majungu?


______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA



 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad