Marioo "Sipendi Kumkubatia Mimi Mars"
Marioo  au Toto Bad; ni staa mwingine mkubwa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye anasema kuwa, si kweli kwamba alimpatia zawadi ya bethidei mrembo Mimi Mars hapo juzi alipokuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa.

Marioo anasisitiza kuwa, yeye na Mimi Mars ni washikaji tu na siyo wapenzi hadi kuwa na ulazima wa kufanya hivyo.

Marioo pia anasema kuwa, yeye na Mimi Mars hawajakumbatiana sana kwenye video ya wimbo wao wa La La kutokana kila mmoja kuwa na mtu wake huku akisistiza yeye hapendi sana kumkumbatia hata kwenye video zake.
______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad