Ticker

6/recent/ticker-posts

Maua Sama Atoa ya Moyoni "Nampenda Ali Kiba Kuna Muda Nawaza Kama Ajiweke Hivi"


Kupitia Clouds E ya Clouds Tv, Msanii @mauasama amefunguka sababu za kumuweka mfalme wa Bongo Flava, @officialalikiba kwenye Display Picture zake za Instagram na Twitter.

Mau amedai, anampenda Alikiba ni mwanaume mzuri mwenye kuvutia,kuna time anawaza kama ajiweke hivi, lakini pia ukizingatia ni King, si vibaya akawa na Queen.

Nyuma ya hili, kutokana na mfululizo wa post za Alikiba na Maua Sama kwenye mitandao yao ya kijamii zinazo onyesha wawili hao kama wapo location, ni wazi uwenda ni ujio wa video ya wimbo wao wa Nioneshe, unaopatikana kwenye EP ya Maua Sama inayoitwa CINEMA.

Au Ali avute tu mke wa pili?😁

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments