Ticker

6/recent/ticker-posts

Mauaji Kigoma chanzo wivu wa mapenziJeshi la Polisi Nchini linamshikilia Peter Mors mkazi wa Mlole kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma, kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya watu saba wa familia moja yaliyotokea katika kijiji cha Kiganza mkoani humo tarehe 3 mwezi huu.

Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Nchini Liberatus Sabas amesema jeshi hilo limejiridhisha kuwa Mors amefanya mauaji hayo ambayo chanzo chake ni wivu wa mapenzi.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments