Ticker

6/recent/ticker-posts

Mdee na Wenzake Kufungua Kesi Ndani ya Siku 14

 


Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama.

Akisoma uamuzi huo leo Julai 8, 2022,  Jaji aliyekuwa anasikiliza maombi hayo Mustapha Ismail, baada ya kujiridhisha na kukubaliana na hoja zilizowasilishwa na upande wa waleta maombi kutaka kibali kufungua kesi kupinga wao kuvuliwa uanachama.

Halima Mdee na wenzake wanatakiwa kufungua kesi hiyo ndani ya siku 14 kuanzia leo, Julai 8, 2022

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments