Ticker

6/recent/ticker-posts

Meneja wa Diamond Sallam SK Ataja Tamaaa ya Pesa Kusababisha Wasanii Kuikimbia WCB


Kwenye kipindi cha Salama Na, meneja wa Diamond Platnumz na wasanii wa WCB kiujumla, Sallam SK amedai kinacho waondoa wasanii kwenye Label hiyo ni tamaa tu na hakuna kingine, SK amedai wanapoona mafao waliotengeneza ni makubwa na yanagawanywa kwa asilimia, Roho inaanza kuwauma, na kuona wanapata kidogo.


Pia SK amedai, kuna watu nje ya WCB wanawashawishi wasanii wa Label hiyo watoke wakiwaahidi mambo mengi, kitu ambacho msanii anaona anakoitwa ni bora zaidi kuliko WCB, akimtolea mfano Rayvanny kuwa alikuwa akionyesha SMS zote anazo tumiwa na watu wanaomtaka aondoke WCB😀


Kila mtu anatetea upande wake, huku mikataba, kule Tamaa

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments