Ticker

6/recent/ticker-posts

Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzania Mohammed Dewji Kuwekeza Kwenye Mchezo wa Ngumi


Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania Mohammed Dewji ambaye kwa miaka ya karibuni alitangaza kuwekeza kwenye Club ya soka ya Simba, leo ametangaza kuupa macho aina nyingine ya mchezo nchini Tanzania.

Bila kuwa na maelezo marefu wala kusema ni siku gani, Mohammed Dewji (47) ameweka katika mitandao yake ya kijamii video fupi yenye kuashiria kwamba “mo boxing” inakuja hivi karibuni.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments