Ticker

6/recent/ticker-posts

Miili ya Watoto wawili Wanafunzi wa Familia moja Mtwara Wazikwa


Miili ya Watoto wawili wa Familia moja waliofariki kwenye ajali ya basi la Shule ya msingi ya King David iliyoua watu 13 wakiwamo wanafunzi 11, imezikwa Mvumi Dodoma.

Watoto hao Johari (7) na Emmanuel (5) wa familia moja ya Simon Joel na Mama Stella Yohana ambao mmoja alikuwa darasa la kwanza na mwingine darasa la awali wamezikwa baada ya ibada iliyofanyika katika kanisa la Anglikana lililopo Kijiji cha Ilolo.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments