Ticker

6/recent/ticker-posts

Mrembo Tanasha Donna Baby Mama wa Mwanamuziki Diamond Platnumz Atangaza Kuwa SINGLE..Anatafuta Mwanaume wa Aina Hii


Habari Toka +254 Kenya Mrembo Tanasha Donna Baby Mama wa Mwanamuziki Diamond Platnumz amesema yupo SINGLE kwa sasa, ameanika wazi hilo na kukazia kwamba Jicho lake kwa sasa linatazama Mwanaume mwenye tabia nzuri.

"Nimekuwa na Wanaume wengi wazuri wenye miili mizuri lakini kwa sasa siangalii hilo naangalia mwanaume mwenye tabia nzuri na mcha mungu "

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments