Ticker

6/recent/ticker-posts

Msanii Lulu Diva Arudi Katika Hali ya Kawaida Baada ya Video Kuvuja...Adokeza Ujio wa Ngoma Mpya


Msanii Lulu Diva kupitia insta story yake amedokeza ujio wa ngoma yake mpya hivi karibuni.

Aidha, Lulu ameandika ujumbe ambao unaashiria kuwa ngoma hiyo itakuwa ni kolabo na kuna msanii kamshirikisha, je ni nani huyo? Awaachia swali hilo mashabiki wake wajaribu kumtaja.


"New Release Lulu Diva Ft ...?" - Unasomeka ujumbe wake. Je, unadhani atakuwa kamshirikisha msanii gani⁉️

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments