Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwamba Akamatwa Akichinja Mbwa Tayari Kwenda Kuuza Nyama ya Mishikaki Kagera

 


Kijana aliyejitambulisha kwa majina ya Amimu Hashimu mkazi wa eneo la Kashai katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, amekamatwa akichinja mbwa aliyedai kuagizwa na mtu amchinje halafu ampelekee nyama.Wakizungumzia tukio hilo baadhi ya mashuhuda wamesema kuwa wamemuona kijana huyo akipita amembeba mbwa huyo kama mbuzi na kuamua kufuatilia na kumkuta akichinja ambapo walitoa taarifa polisi na kufanikiwa kumkamata na kumpeleka ofisi ya kata Kashai kwa hatua zaidi

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments